Rais Mwinyi : Ijitimai kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kufanyika kwa Ijitimai na kuwasili kwa wageni kutoka mataifa mbalimbali kutafungua fursa za kiuchumi kwa wananchi, hususan wafanyabiashara wadogo, na kuchangia ongezeko la kipato. Rais...