Rais Dk Samia ahimiza usimamizi rasilimali za umma mkutano wa IPU

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyataka mabunge kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma na uwajibikaji wa serikali, akisisitiza kuwa wananchi wanatarajia wawakilishi wao kulinda maslahi yao na kuhakikisha mahitaji yao yanazingatiwa katika maamuzi. Rais...