Msajili wa Hazina na Barrick wajadili namna bora ya uendelezaji wa migodi

Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, leo Jumatano, Septemba 16, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa kampuni ya Barrick kuhusu namna bora ya uendelezaji wa migodi nchini. Ujumbe wa Barrick uliongozwa na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kimataifa...