Ajali yaua askari watano na mahabusu 7 Iramba

Na Elisante John, JamhuriMedia, Singida‎‎Ajali ya gari la Polisi imeua watu 12, wakiwemo askari watano na mahabusu saba, baada ya kugongana na lori la mafuta katika eneo la Mlima Sekenke, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida. Ajali hiyo imetokea leo...