Zungu: Uwakilishwaji wa wanawake bungeni pekee hautoshi

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amefungua Mkutano wa Jukwaa la Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), leo Oktoba 5, 2026, katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)....